BREAKING: RAIS MAGUFULI ATEUA MKUU MPYA WA POLISI
BreakingNews
BREAKING: Rais Magufuli ateua Mkuu mpya wa Polisi

IGP Simon Sirro anachukua nafasi ya Ernest Mangu ambaye atapangiwa kazi nyingine. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa IGP Simon Sirro ataapishwa kesho Jumatatu tarehe 29 May, 2017 saa 3:30 asubuhi Ikulu Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment