BREAKING NEWS
#BREAKING: Wanafunzi wengine watatu wamepoteza maisha leo Geita
Muro Tv Nimeipata hii taarifa kutoka mkoani Geita ikieleza kumetokea ajali ya
Mtumbwi ambao ulibeba wanafunzi wa shule ya Ludegea ambapo wanafunzi
watatu wamepoteza maisha baada ya kuzama na wengine 21 wamenusurika.
Imeelezwa kuwa wanafunzi hao walikuwa njiani kuelekea shuleni wakati ajali ya kuzama mtumbwi huo ilipotokea.
Muro Tv inafatilia kilia kitu kuhusu ajali hii na tutakufahamisha zaidi.

No comments:
Post a Comment