BRAKING: PHILEMON NDESAMBURO MBUNGE WA ZAMANI WA MOSHI AFARIKI DUNIA
BREAKING NEWS: Philemon Ndesamburo Mbunge wa zamani Moshi Mjini afariki dunia
Taarifa nilizozipokea mchana wa leo May 31, 2017 ni kutoka Moshi Tanzania, ni taarifa ya msiba wa aliyewahi kuwa Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo maarufu kama Ndesapesa amefariki dunia ghafla leo.
MuroTv na murotv.blogspot.com tutafuatilia kwa ukaribu kupata taarifa kamili.

No comments:
Post a Comment