Wayne Rooney akamatwa na Polisi na kufunguliwa kesi
Rooney ameripotiwa kukamatwa na Polisi kwa kuendesha gari akiwa amelewa usiku wa Ijumaa ya August 31 2017, hivyo amepewa dhamana na atatakiwa Mahakamani September 18 2017.
Staa huyo mwenye umri wa miaka 31 ambaye amejiunga na timu yake ya utotoni ya Everton msimu huu akitokea ManUnited, ilipostiwa picha instagram akiwa bar na Jack Mclver lakini ilifutwa muda mchache baada ya kusikia kakamatwa.
No comments:
Post a Comment