Picha 30 | Maafa ya shambulizi la kigaidi September 11 nchini Marekani
Na Mr Muro
September 11, 2001 ilikuwa ni siku mbaya sana kwa Nchi ya Marekani kutokana na shambulizi la kigaidi. Karibu watu 3000
wasio na hatia walipoteza maisha baada ya magaidi wa Al Qaeda kuteka
ndege mbili za abiria na kuzitumia kushambulia majengo mawili makubwa
ya New York's World Trade Center na Pentagon mjini Washington.
Tukio hilo liliacha maafa na majonzi makubwa kiasi cha kuingia kwenye
orodha ya siku za kumbukumbu nchini Marekani na nchi nyingine duniani
ambazo watu wake walipoteza maisha kwenye tukio hilo.
Hapa nimekuwekea picha 30 za baadhi ya matukio ya siku hiyo September
11, 2001 kukukumbusha maafa yalivyokuwa na kwa nini dunia inachukia sana
Ugaidi.
No comments:
Post a Comment