Mbowe afunguka Tundu Lissu alivyoshambuliwa kwa risasi
Tundu Lissu baada ya kupigwa risasi amekimbizwa katika hospitali ya Mkoa Dodoma na kupatiwa matibabu, mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa kambi ya upinzania Bungeni Freeman Mbowe ameeleza tukio lilivyotokea.
“Wakati Mh Tundu Anthipas Lissu anarejea nyumbani kwake Area D Dodoma akitokea Bungeni alishambuliwa kwa risasi na gari iliyokuwa inafuata gari yake nyuma walitoa Bunduki na kuanza kummiminia risasi”>>> Mbowe
No comments:
Post a Comment