DAXO CHALI AFUNGUKA KUHUSU MAISHA YAKE LIVE ON BAZUKA SHOW HOSTED BY KING DAVY
Daxo Chali aeleza maisha yake kwanzia kuimba kwaya hadi kuwa producer na Mtayarishaji
Pia kwanini anapenda kuwasaidia wadada wadogo kama vile Haithakim, Nini na Wengine wengi......amefunguka mambo mengi pia kwenye Bazuka Show hosted by King Davy and Queen Anna
Hii hapa full interview nimekuwekea Mwana wane #KAAKIJANJA
PART 1
PART 2
No comments:
Post a Comment