BREAKING: Wabunge upinzani wamegoma kuingia Bungeni wenzao wapya wakiapishwa
Mkutano wa Nane wa Bunge la Jamhuri umeanza leo Mjini Dodoma na moja ya mambo yaliyopo kwente ratiba ya mkutano huo ni kuapishwa kwa Wabunge wapya 8 wa Viti Maalumu ambao wameteuliwa kuziba nafasi za Wabunge 8 wa Viti Maalumu waliofutwa CUF.
No comments:
Post a Comment