Ni siku 2 na Masaa Kadhaa yamepita tangu mwimbaji staa wa Bongofleva
Alikiba kuachia video ya wimbo wake mpya
‘Seduce Me’ lakini tayari imeonekana mashabiki wake wameipokea vizuri baada ya kufikisha viewers zaidi ya
Millioni 2.
LIKE OUR FACEBOOK PAGE
No comments:
Post a Comment