Header Ads

Picha 21: Uharibifu wa Kimbunga Harvey Marekani

 Brad Matheney akimsaidia mtu mwenye kiti cha magurudumu Galveston
Kimbunga hicho kimesababisha mafuriko katika maeneo mengi
Kimbunga Harvey kilifika maeneo ya Marekani bara Ijumaa jioni na kusababisha mvua kubwa na upepo mkali.
Upepo wa kasi ya hadi 130mph (215 km/h) ulipiga maeneo ya pwani ya Texas.
Kimbunga hicho ndicho kibaya zaidi kuwahi kupiga maeneo ya Marekani bara katika kipindi cha miaka 13 na kimesababisha uharibifu mkubwa maeneo hayo.
Mji wa Rockport ni miongoni mwa maeneo yaliyoathiriwa zaidi. Magari na majumba yaliharibiwa katika uwanja wa ndege wa mji huo...
 Destroyed vehicles and buildings at Rockport Airport
...sawa na ndege kadha ndogo.A light plane sits upside down at Rockport Airport
Mji wa Rockport ulipigwa na kimbunga hicho usiku kucha.A Rockport firefighter goes door to door on a search and rescue mission as he looks for people that may need helpA woman walks away from a destroyed apartment buildingJessica Campbell hugs Jonathan Fitzgerald (L-R) after riding out Hurricane Harvey in an apartment on August 26, 2017 in Rockport, TexasA man tries to kick open a door of an apartment to find his friends
Wakazi wa mji wa pwani Corpus Christi pia waliathirika pakubwa. Nguvu za umeme zilikatika na eneo lote likajaa giza.Stewart Adams, of San Marcos, Texas, battles the winds in Corpus Christi U.S. on 25 August, 2017Local residents sit at the bar in the dark after a citywide power failure as Hurricane Harvey hit Corpus Christi, Texas, on August 25, 2017A man walks near the bay waters as they churn from approaching Hurricane Harvey on August 25, 2017 in Corpus Christi, TexasPeople walk through high winds in Corpus Christi
Jumamosi, wengi waliamka kupata barabara hazina watu na majumba yameharibiwa. katika baadhi ya maeneo, moto ulizuka.
Lakini uharibifu katika mji huo haukufikia uharibifu ulioshuhudiwa Rockport.A burnt out house and cars that caught fire are seen after Hurricane Harvey hit Corpus Christi, Texas on August 26, 2017A white SUV car is seen submerged
Ijumaa, kabla ya kimbunga kufika bara, watalii wanaopenda kufuatilia vimbunga walikuwa wamefika kwenye fukwe kujionea mawimbi na kupiga picha. Wengi baadaye walikimbilia maeneo salama.A resident photographs the beach in Corpus Christi
Watu wengi walihama miji na biashara kufungwa kuzuia uharibifu.Sign on a business reading
Maafisa wameonya kwamba maeneo mengi yatashuhudia mafuriko mabaya katika kipindi cha siku chache zijazo.Tayari kumetokea mafuriko Galveston.People walk dogs through flooded streets as the effects of Hurricane Henry are seen August 26, 2017 in Galveston, Texas
Na mjini Port Lavaca.Floodwaters outside a house in Port Lavaca
Mjini San Antonio, wanyama pia walihamishwa...Horses are evacuated in San Antonio
Wakazi wa Houston - mji wa nne kwa wingi wa watu Marekani - wamekuwa wakijiwekea chakula cha akiba. Rafu nyingi katika maduka ya jumla hazina bidhaa.Woman looks over bare refrigerator shelves in a Walmart in Houston
Kimbunga Harvey kimeathiri sana uchimbaji wa mafuta Ghuba ya mexico pamoja na uchukuzi wa ndege.
Asilimia 45 ya usafishaji wa mafuta Marekani hufanyika katika ghuba hiyo.
Tangi la mafuta liliharibiwa akribu na mji wa Seadrift, katika wilaya ya Calhoun.An oil tank damaged by Hurricane Harvey is seen near Seadrift, Texas, August 26, 2017
Picha za Nasa zimeonesha kimbunga hicho kilivyoonekana kutoka anga za juu.


This NASA image from August 25, 2017, taken by NASA astronaut Jack Fischer shows Hurricane Harvey (top) from the cupola module aboard the International Space Station.

No comments:

Powered by Blogger.