RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA STENDI MPYA YA KISASA MJINI KOROGWE LEO
Pichani ni eneo la stendi mpya na ya kisasa ya mabasi mjini Korogowe Mkoani Tanga, iliyozinduliwa rasmi na Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo.
PICHA NA IKULU
Sehemu ya Wananchi wa Korogwe wakiwa wamefurika kwa wingi kwenye eneo la stendi hiyo, kumsikiliza Rais Dkt. John Pombe Magufuli, kabla ya kuizindua rasmi leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi cha Korogwe mjini mkoani Tanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi waliofika katika ufunguzi huo wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi cha Korogwe mjini mkoani Tanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo kabla ya kufungua rasmi Kituo hicho cha Kisasa cha Mabasi cha Korogwe mjini mkoani Tanga.
Taaswira ya wananchi mbalimbali waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi cha Korogwe mjini mkoani Tanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mananchi mara baada ya kufungua Kituo cha Kisasa cha Mabasi cha Korogwe mjini mkoani Tanga.
No comments:
Post a Comment