Orodha ya TV na Radio za Tanzania zinazosikilizwa zaidi kwa mwaka 2017 imetoka
Clouds FM imeongoza kwa mara nyingine kwenye list hiyo ikifuatiwa na Radio Free Afrika wakati TBC Taifa ikikamata nafasi ya tatu.
Aidha Taasisi hiyo pia imeitaja Clouds TV kuwa kituo kinachotazamwa zaidi Tanzania katika top ten list ya Television zinazotazamwa zaidi Tanzania ikifuatiwa na ITV na East Africa TV.
Radio zinazosikilizwa zaidi Tanzania
No comments:
Post a Comment