Nay wa Mitego kawachana wote Diamond, Alikiba & Dimpoz
Mmoja wa walioipokea kwa hisia tofauti ni staa mwingine wa Bongofleva Nay Wa Mitego ambaye baada ya kuiona na kuisoma post ya Ommy Dimpoz aliandika kwenye Instagram yake akitoa angalizo kwa watu kutohusisha wazazi kwenye migogoro yao binafsi.
Nay Wa Mitego kaandika>>>”Gombaneni, Loganeni Mpaka Muuwane… Napenda Kusikia Challenge Kwenye Game, Ila Tusiwaingize Wazazi Wetu Please. Tutukananeni Matusi Yote Wenyewe Kwa Wenyewe Ikibidi Piganeni Kabisaaaa Atakae Kufa Tutazika na Itakua Historia Kama Big na Pac. Ila Kuwaingiza Wazazi ni…
“Sipo Upande Wowote, Si #Kiba #MondWala #Ommy. Endeleeni na Vita yenu Kama Wanawake Mmechukuliana Mabwana. Ila Swala la Wazazi Mnavuka Mipaka” – Nay wa Mitego
No comments:
Post a Comment