Kumekucha: Alikiba amjibu Diamond Kupitia Ukurasa wake wa Twitter
Alikiba aliandika>>>”I know that you hate me 100% but I give ZERO F**ks
Alikiba baada ya kuandika hayo mashabaki wakaanza kuhusisha maneno hayo na remix ya FRESH wa Fid Q ambapo Diamond ameshirikishwa na katika sehemu aliyoimba kuna maneno yanayoashiria kama kijembe kwa Alikiba.
>>>”Ukinichukia sikosi hela hivyo kwangu siyo kesi, kunikompea na Sinderela haiwezi kuwa fresh. Simba toka Mbuga ya Tandale naona Swala wana force tuwe saresare, viuno vidogo wanataka pensi ya pepekale si walitaka kiti nimewapa hadi kitanda wakalale.” Diamond
No comments:
Post a Comment