King Davy On Bazuka Show Anyoula FM Kenya 22 Aug 2017, Muro TV News
Wanaume wanne wamefikishwa kwenye mahakama ya Afrika Kusini kujibu mashtaka ya ulaji nyama ya binadamu, baada ya madai kuwa mmoja wao alifika katika kituo cha polisi na kusema kuwa amechoka kula nyama ya binadamu.
2. Emma Stone ndiye mwigizaji wa kike anayelipwa pesa nyingi zaidi miongoni mwa waigizaji duniani mwaka huu.
3. Matajiri wa jiji la Manchester klabu ya Man city, imeshindwa kutamba katika uwanja wake wa nyumbani wa Etihad baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na Everton.
SIKILIZA HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment