Header Ads

Faiza Ally amepata mtoto leo


Siku moja baada ya Faiza Ally kusikika kwenye U heard ya XXL ya Clouds FM akitolea ufafanuzi kuhusu picha zake za utata alizopost kwenye Instagram yake, sasa leo ipo good news inayomuhusu baada ya kujifungua salama mtoto.

Kupitia Instagram yake leo August 3, 2017 Faiza Ally amethibitisha kuwa amebahatika kujifungua mtoto, akiweka picha ya mtoto huyo na kuweka maneno ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuandika>>>”ALHAMDULILLAH  @lijunior_well come to the world baby ”

No comments:

Powered by Blogger.