EXCLUSIVE INTERVIEW: KING DAVY ON AFYA FM, LISTEN NOW
King Davy afunguka kuhusu sababu zinazofanya wasanii wa Mwanza kuchelewa kutoka kwenye Gemu ya Muziki, Ngoma zake, Kipi kinafata sasa hivi, Wapi alipo kwa sasa Na ushauri kwa wasanii wa Mwanza. Sikiliza mengi aliyoyaongea King Davy leo ndani ya studio za Afya FM-Mwanza
SIKILIZA MOJA KWA MOJA
Promote kazi zako na MuroTV na murotv.com kwa bei nafuu sana
wasiliana nasi kupitia
WhatsApp, Call & SMS: 0768786851
Email : prosperalphonce35@gmail.com
No comments:
Post a Comment