Chelsea Yailaza Tottenham 2-1, EPL
Marcos Alonso amefunga mara mbili |
Mabingwa watetezi Chelsea wakiifunga
Tottenham katika mchezo wao wa kwanza wa Premier League uliopigwa Wembley.
Vijana wa Mauricio Pochettino wanatumia uwanja Taifa kwa mechi zao za
nyumbani msimu huu kwa sababu uwanja wao wa White Hart Lane unafanyiwa
maboresho.
Msimamo wa EPL
No comments:
Post a Comment