Header Ads

Breaking | Ester Bulaya amelazwa baada ya kuugua akiwa rumande


Taarifa iliyonifikia usiku huu kutoka Tarime mkoani Mara ni kuwa Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya amewahishwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime baada ya kuugua akiwa rumande ambako alikuwa ameshikiliwa na Polisi baada ya kumkamata akiwa Hotelini, Tarime.
 Mrimi Zabron amesema Bulaya anasumbuliwa na kifua ambacho kimesababisha ashindwe kuzungumza lakini hata hivyo Madaktari wanaendelea na matibabu.

No comments:

Powered by Blogger.