BATUL MOHAMED MISS GRAND TANZANIA AAHIDIDI KUFANYA VIZURI KATIKA TAJI LA DUNIA
Mshindi wa shindano la Miss Grand Tanzania, Batul Mohamed akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya kazi atakazozifanya za kijamii katika kipindi cha mwaka mmoja na matarajio yake katika kuwania taji la Dunia. Wengine pichani ni Mrembo wa Dunia wa shindano la Miss Grand International 2016,Ariska Mchammed (katikati) pamoja na Makamu wa Rais wa Shindano la Miss Grand International,Teresa Chaivisut.
Mrembo wa Dunia wa shindano la Miss Grand International 2016,Ariska Mchammed akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya kazi za Missgrand International hapa nchini.
Muandaaji wa Shindano la Miss Grand Intarnational hapa nchini, Happyness O'shen akizungumza juu ya Safari ya mrembo huyo kwenda Thailand.
No comments:
Post a Comment