“Sijaathirika peke yangu na Seduce Me” – Wema Sepetu
Kupitia Instagram yake Wema Sepetu ameandika maneno haya>>>”I have something to tell Alikiba… Baba Tunashukuru kwa Mziki mzuri, unatukomesha sana… Unatupa shida masaa yote nyimbo inakuwa kwenye Repeat.
“Yaani sijioni naskiza nyimbo nyingine zaidi ya #SeduceMe … @elizabethmichaelofficial Najua nimesema nyimbo ila ushanielewa .. Na ninatambua kwamba hili ni janga letu sote… Sijaathirika peke yangu na Seduce Me…. Kwa mara nyingine tena natoa shukran zangu za dhati kabisa kwako Bwana Bichwa… ”
No comments:
Post a Comment