Ubaguzi: Gazeti la Uingereza lauita mji wa Dar es Salaam ''Kijiji cha uvuvi''
Na Muro TV (Mwandishi Mr Muro)
Watumiaji wa mtandao wa Twitter wanaendelea kulikosoa gazeti moja la Uingereza la Daily Mail kwa kuuita mji wa Dar es salaam ''kijiji cha wavuvi''.
Watumiaji wa mtandao wa Twitter wanaendelea kulikosoa gazeti moja la Uingereza la Daily Mail kwa kuuita mji wa Dar es salaam ''kijiji cha wavuvi''.
Maneno hayo yalitumiwa katika habari kuhusu ziara ya klabu ya Everton nchini Tanzania.
Mtu mmoja aliitaja hatua hiyo kama utovu wa heshima na ya kibaguzi.
''Mashabiki wa Bollasie wamejaa katika kijiji cha uvuvi mashariki mwa pwani ya taifa hilo'', yalisema maelezo hayo ya picha
----Endelea kukaa karibu na Muro TV kwa mengi zaidi---
No comments:
Post a Comment