VIFO 15 VILIVYOTOKEA UWANJANI KATIKA HISRTORIA YA MPIRA WA MIGUU-DUNIANI
Muro TV Na Mwandishi wetu Mr Muro
Vifo vilivyotokea uwanjani katia Historia ya mpira wa miguu duniani
1. EMANUEL ORTEGA
Mchezaji wa Argenina
Alifariki kwa maumivu ya kichwa baada ya kupamiwa na mchezaji wa timu pinzani na kujigonga katika ukingo (Ukuta) wa kiwanja cha mpiara.
Alizaliwa 1988.09.02 Alikufa 2015.05.14
Mchezaji wa Nigeria
Alifariki akiwa njiania akipelekwa Hospitali baada ya kuzidiwa na kuanguka chini wakati wa mechi
Alizaliwa 1984.08.04 Alikufa 2010.03.06
Mchezaji wa Algeria
Gacemi alifanikiwa kufunga goli kwa kichwa lakini alijigonga na beki wa timu pinzani (Yacine Slatni) akapoteza fahamu na baadae kufariki dunia.
Alizaliwa 1974 Alifariki 2000.03.21
Mchezaji wa Indoneshia
Alifariki kwa kuumwa sikukadhaa baada ya kuumia kwa kugongana na golikipa wa timu pinzani wakati akishambulia kufunga goli na mwishowe alifanikiwa kufunga lakini aliumia kwa kugongana na golikipa.
Alizaliwa 1987.05.08 Alifariki 2014.05.16
Mchezaji wa Italia
Alifariki baada ya Moyo kufeli (Moyo kushindwa kusukuma damu sehemu mbali mbali za mwili) wakati wa mechi
Alizaliwa 1986.07.05 Alifariki 2012.04.14
Mchezaji wa Ukraini
Alifariki muda mfupi baada ya kugongana vichwa na mchezajia wa timu pinzani Budun Budunow ambae pia alifariki siku tisa (9) baadae baada ya kupata majeraha kwenye ubongo.
Alizaliwa 1977.09.04 Alifariki 2001.08.28
Mchwzaji wa Cameroon
Alifariki baada ya kupata mshtuko wa moyo wakati aicheza uwanjani
Alizaliwa 1975.05.01 Alifariki 2003.06.26
Mchezaji wa Brazil
Alifariki baada ya kugongana na golikipa dakika ya 78 ya mechi
Alizaliwa 1979.06.05 Alifariki 2004.12.05
Mchezaji wa Croatia
Alifariki siku 5 baadae kwa madhara ya kichwa aliyoyapata baada ya kugongana na mchezaji wa timu pinzania
Alizaliwa 1983.10.21 Alifariki 2008.04.03
Alifariki kwa matatizo ya uti wa mgongo aliyoyapata alipokuwa akijaribu kuruka somersault wakati akishangilia baada ya kufunga goli
Mchezaji wa Scottish
Alifariki baada ya kupata tatizo la moyo kufeli wakati akishangilia baada ya kufunga goli
Alizaliwa 1972.03.25 Alifariki 2007.12.29
Mchezaji wa Hispania
Alifariki siku ya tatu (3) baadae kwa matatizo ya moyo na uti wa mgongo baada ya upande wa kulia kufeli kutokana na matatizo ya uti wa mgongo wakicheza na Getafe ligi ya Laliga
Alizaliwa 1984.11.26 Alifariki 2007.08.28
Mchezaji wa Nigeria
Alifariki kwa tatizo la Moyo kufeli akiwa uwanjani
Alizaliwa 1991.08.07 Alifariki 2007.10.04
Mchezaji wa Brazil
Alifariki dakika ya 60 ya mechi baada ya kupata mshtuko wa moyo
Alizaliwa 1974.10.19 Alifariki 2004.10.27
Mchezaji wa Hungari
Alifariki baada ya kupata mshtuko wa moyo akiwa kwenye mechi dhidi ya Victoria de Guimardes akichezea Benfica
Alizaliwa 1979.07.20 Alifariki 2004.02.25
---Endelea kukaa karibu na Muro TV kwa mengi zaidi----
No comments:
Post a Comment