Header Ads

Tanzia: Mmiliki wa hoteli ya Impala, Ngurdoto na Naura Springs Arusha afariki dunia

Impala Hotel.jpg
Ndugu Faustine Meleo Auye Mrema ambaye ndiye mmiliki wa Impala Groups of Hotels amefariki dunia Leo South Africa alipokwenda kwa Matibabu tangu mwezi wa sita mwaka huu 2017

The Impala Group of Hotels inajumuisha:
1) Impala hotel (Arusha)
2) Impala hotel (Moshi)
3) Ngurdoto Mountain Lodge (Arusha)
4) Naura Springs Hotel (Arusha)
5) Impala shuttle Services (Arusha)
6) The Classic Tours & Travels

Impala Hotel ambayo ndio hotel yake ya kwanza ilianzishwa mwaka 1988

Tunaendelea kufuatilia na tutawajuza zaidi endelea kukaa karibu nasi. Ahsante!

No comments:

Powered by Blogger.