“Rais wa Tanzania ni mmoja tu” Jerry Muro
Ni maoni ya Mwandishi wa habari ambaye pia amewahi kuwa Msemaji wa Club ya soka ya Yanga Jerry Muro kwenye mtandao wake wa kijamii kuhusu Rais wa Tanzania na wengine wenye vyeo vya Urais.
Jerry Muro ameandika “Rais wa Tanzania ni mmoja tu, Hawa wengine
Rais wa TLS Rumande
Rais wa TFF Rumande
Rais wa Yanga Rumande
Rais wa Simba Rumande
Mwingine akijiita *Rais* asubiri moto wake.
#utanikamakweli
Nchi haiwezi kuwa na utitiri wa marais ikakubalika.
#raiswangu #HapaKaziTu@lemutuz_nation
@paulmakonda @gersonmsigwa“
Rais wa TLS Rumande
Rais wa TFF Rumande
Rais wa Yanga Rumande
Rais wa Simba Rumande
Mwingine akijiita *Rais* asubiri moto wake.
#utanikamakweli
Nchi haiwezi kuwa na utitiri wa marais ikakubalika.
#raiswangu #HapaKaziTu@lemutuz_nation
@paulmakonda @gersonmsigwa“
No comments:
Post a Comment