Header Ads

Man United, Real Mdrid Zatunishiana misuli Internetional Champions Cup (ICC)

 
Michuano ya ICC ambayo Real Madrid na ManUnited wamekutana ni michuano mifupi ambayo hufanyika kila mwaka kama sehemu ya timu kufanya maandalizi yao ya msimu mpya wa Ligi na mashindano mbalimbali.
Mvuto wa game ya Real Madrid dhidi ya ManUnited ambayo dakika 90 zilimalizika lwa sare ya 1-1 Casemiro akiisawazishia Real Madrid goli kwa mkwaju wa penati dakika ya 68 baada ya Jesse Lingard kufunga goli la uongozi kwa ManUnited dakika ya 45, wengi wameanza kuiwaza UEFA Super Cup.

No comments:

Powered by Blogger.