Header Ads

LIST NZIMA YA WACHEZAJI WALIOSAJILIWA SINGIDA UNITED 2017/2018


Club ya Singida United ambayo inadhaminiwa na kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa imeendelea kuonesha uhodari wake katika kujenga timu yao kwa ajili ya msimu wa 2017/2018 kutokana pia na kutumia vyema pesa wanazozipata kutoka kwa mdhamini wao SportPesa.
Kocha wa Singida United Hans van Pluijm akimkabidhi jezi Kigi Makassy
Leo July 23 ikiwa ni siku mbili zimepita toka Singida United watangaze kufunga usajili kwa kumsajili Deus Kaseke kutoka Yanga, leo wamemtambulisha rasmi Kigi Makassy ambaye walimsajili kutoka Ndanda FC kabla ya Deus Kaseke lakini walikuwa hawajamtangaza.

FULL LIST YA WACHEZAJI WA SINGIDA UNITED 2017/2018
1.Elisha Muroiwa(Zimbabwe)
2.Twafadzwa Kutinyu (Zimbabwe) 3.Simbarashe Nhivi (Zimbabwe) 4.Wisdom Mtasa (Zimbabwe) 5.Shafik Batambuze(Uganda) 6.Dany Usengimana( Rwanda) 7.Michel Rusheshangoga(Rwanda)
WACHEZAJI WAPYA WA NDANI WALIYOSAJILIWA
1.Atupele Green (Jk Ruvu)
2.Miraj Adam (Africa Lyion) 3.Kenny Ally (Mbeya City) 4.Roland Msonjo(Mshikamano Fc) 5.Pastory Athans (Simba) 6.Deus Kaseke(Yanga) 7.Ally Mustapha (Yanga) 8.Salum Chuku (Toto Africa) 9.Kigi Makassy (Ndanda Fc).
Kwa sasa Singida United inakuwa na jumla ya wachezaji 25 itakaowatumia kwa ajili ya msimu ujao wa 2017/2018 baada ya kusajili wachezaji 7 wa kigeni, wachezaji 9 wa ndani ambao wanaungana na wachezaji 9 wengine waliyoipandisha Singida United Ligi Kuu.

No comments:

Powered by Blogger.