HAMISA MOBETTO AWEKA WAZI MIMBA YA DIAMOND
Stori ambayo imekuwa ikitrend
kwenye mitandao mbalimbali ni kuhusu Mwanamitindo wa Bongo Hamisa
Mobetto kudaiwa kutoka kimapenzi na Mwimbaji wa Bongofleva Diamond
Platnumz huku pia ikielezwa kuwa na ujauzito wa staa huyo lakini Hamisa
Mobetto ameamua kuuweka hadharani ukweli kuhusu ujauzito huo.
Kupitia Instagram yake leo July 3, 2017 Hamisa amepost picha mbili tofauti ambapo akiandika kwenye picha ya kwanza “Mamaa, Angalizo Ushauri peleka angaza.” Na picha ya pili akaandika: “Mama Daa…. Mama Dee….. Mama Diii….. Mama Doo… Mama Duu….”
------Endelea kukaa karibu na Muro TV kwa mengi zaidi-----
No comments:
Post a Comment