BREAKING: VIONGOZI 6 CHADEMA AKIWEMO MBUNGE CHINI YA JESHI LA POLISI- RUVUMA
Jeshi la polisi mkoani Ruvuma linawashikilia viongozi 6 wa kitaifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) akiwemo Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Ruvuma kupitia chama hicho Mhe Zubeda Sakuro kwa tuhuma za kufanya mikutano ya hadhara ya kisiasa na kuzua vurugu wilayani Nyasa mkoani Ruvuma.
Hii hapa taarifa yake.
---Endelea kukaa karibu na Muro Tv kwa habari nyingi zaidi---
---Endelea kukaa karibu na Muro Tv kwa habari nyingi zaidi---
No comments:
Post a Comment