barua ya Prof. Lipumba kufukuza Wabunge 8 CUF, Spika wa Bunge
July 25, 2017 taarifa kutoka ofisi ya Bunge imeeleza kuwa Spika
Job Ndugai amepokea barua kutoka kwa Mwenyekiti wa CUF Taifa
anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili, Prof. Ibrahim Lipumba inayoeleza
kuwafukuza uanachama Wabunge nane wa viti maalum na madiwani wawili.
Uamuzi wa Prof. Lipumba umekuja baada ya kuwatuhumu Wabunge na
Madiwani hao kwa makosa mbalimbali yakiwemo ya kinidhamu, kukihujumu
chama, Kumkashifu na kumdhalilisha Mwenyekiti.
No comments:
Post a Comment