Moja ya story kubwa kutoka Bungeni Dodoma ni pamoja na hii ya
Wabunge kuchangia mapendekezo yao katika Bajeti Wizara ya Nishati na
Madini ambapo baadhi ya waliopata nafasi hiyo wametaka Serikali kupitia
upya mikataba ya Madini ili kubaini makosa yaliyofanywa na wahusika
kisha iwachukulie hatua za kisheria.
WAHUSIKA MAKATABA YA MADINI WANYONGWE-WABUNGE
Reviewed by
Unknown
on
June 03, 2017
Rating:
5
No comments:
Post a Comment