Header Ads

BREAKING: MKURUGENZI KITUO CHA HAKI ZA BINADAMU AKAMATWA NA POLISI DSM

MuroTv

BREAKING: Mkurugenzi Kituo cha Utetezi wa Haki za Binadamu akamatwa na Polisi DSM

Ni habari za leo June 3, 2017 ambazo nimezipata kutoka DSM ambazo zinaeleza kuwa Polisi wanamshikilia Mkurugenzi wa Kituo cha Utetezi wa Haki za Binadamu Tanzania ‘THRDC’ Onesmo Olengurumwa na kuzuia uzinduzi wa Kitabu cha Watetezi wa Haki Vyuoni kilichoandikwa na Alphonce Lusako.
Tukio hilo limetokea katika ukumbi wa Blue Pearl Hotel Ubungo Dar es Salaam ambapo Muro Tv inaendelea kufuatilia kwa karibu zaidi.

No comments:

Powered by Blogger.