Video 6 za Bongofleva zilizoingia Top 40 ya zinazotazamwa sana kwa sasa
#1 Diamond – I Miss you imeshika namba 1 kati ya video zote 40 zinazotazamwa sana kwa sasa Tanzania ikiwa ni saa kadhaa toka Diamond aachie video mbili kwa mpigo.
#20 Saida Karoli – Orugambo Smash hit ya Orugambo imeshika namba 20 katika list hiyo ya video 40 ambapo hizo namba nyingine zimechukuliwa na video nyingine za matukio mbalimbali ikiwemo habari.
#22 Rayvanny – mbeleko Nafasi ya 22 katika hizo video 40 imechukuliwa na video ya Rayvanny iitwayo Mbeleko.
#23 G Nako – Lucky me Mkali kutoka WEUSI G Nako amekaa kwenye namba 23 na video yake ambayo imetoka siku 6 zilizopita.
#24 Stereo ft. Rich Mavoko – Mpe habari, hii video imeachiwa wiki moja iliyopita ambapo kwa sasa ina views zaidi ya laki 4 na elfu hamsini.
#33 Mimi Mars – Dedee, Mars ameiachia video yake hii siku mbili zilizopita na mpaka sasa ina views zaidi ya elfu 29.
No comments:
Post a Comment