UFUNGUZI WA MAFUNZO YA SIASA NA UONGOZI KWA KINA MAMA WA UWT
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk. Abdulla Juma Saadalla “Mabodi”
akiwahutubia mamia ya wanachama na viongozi wa UWT Mkoa wa Mjini
Unguja, mara baada ya kufungua mafunzo ya Wanawake na Uongozi katika
siasa huko Ukumbi wa Mikutano wa Mkoa wa Mjini CCM uliopo Amani Unguja
Mwenyekiti
wa UWT Mkoa wa Mjini, Waridi Juma Othman akizungumza na viongozi na
wanachama hao kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi afungue mafunzo hayo
Ukumbi wa Mikutano wa Mkoa wa Mjini CCM uliopo Amani Unguja.
Mbunge
wa Viti Maalum Wanawake (CCM) (MNEC) Khadija Hassan Aboud akitoa
maneno ya shukrani kwa mgeni rasmi Dkt. Abdulla Juma Saadalla “
Mabodi” kabla ya kuanza mafunzo hayo.
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Mjini, Waridi Juma Othman akizungumza na viongozi na wanachama hao kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi afungue mafunzo hayo Ukumbi wa Mikutano wa Mkoa wa Mjini CCM uliopo Amani Unguja.
Mkufunzi wa Mafunzo hayo Emiley Nelson Fwambo akizungumza na washiriki wa mafunzo ya Wanawake na Uongozi katika siasa.
baadhi ya Viongozi na wanachama wa UWT walioudhuria katika mafunzo hayo wakifuatilia kwa umakini nasaha za mgeni rasmi Dkt. Abdulla Juma Saadalla “Mabodi” wakati akizungumza mara baada ya kufungua mafunzo hayo.( PICHA NA AFISI KUU ZANZIBAR).
Muro Tv Ipo Play Store…Download HAPA ,Tuwe tunakutumia habari kwa haraka zaidi,kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba:0768786851, whatsapp:0768786851

No comments:
Post a Comment