Saa chache baada ya Manula kuondoka, Azam FC imetangaza mbadala wake
Michezo
MuroTV
Saa chache baada ya Manula kuondoka, Azam FC imetangaza mbadala wake
Azam FC leo wamemtangaza golikipa Benedict Haule aliyekuwa akiichezea Mbao FC ya Mwanza kuwa mbadala wa Aishi Manula aliyejiunga na Simba, Benedict amesaini mkataba wa miaka miwili.

Benedict Haule akisaini mkataba mbele ya Meneja Mkuu wa Azam FC Abdul Mohammed na Meneja wa timu Philip Alando.
MuroTV na murotv.blogspot.com zipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati.
KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;

No comments:
Post a Comment