
David Beckham na mwanae Brooklin
Siku chache zilizopita mcheza soka maarufu duniani, David Beckham aliripotiwa kuwasili nchini Tanzania mara baada ya kuonekana uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport Dar es laam akiwa na familia yake na kusemekana Beckham amekuja kwenye mapumziko na atatembelea vivutio mbalimbali vya utalii Tanzania.
Hapa nimezinasa baadhi ya picha
zikimuonyesha akiwa na familia yake kwenye hifadhi ya wanyama ya
Serengeti. Pamoja na Beckham mastaa wengine walioekana kutembelea mbuga
za wanyama Tanzania mwaka huu ni pamoja na Will Smith na mwanamitindo
Chanel Iman ambao wao walifika kwenye hifadhi ya
Serengeti March 2017.
David Beckham na mwanae Brooklin

N
No comments:
Post a Comment