PICHA 21 GALLA NIGHT: LIVE PERFOMANCE BY BILL NASS, DOGO JANJA AND NANDY, SAUT-MWANZA + FULL VIDEO
Mtu wangu wa ukweli kama ilivyo kawaida yangu Muro TV na murotv.blogspot.com kukuletea natukio ya muhimu kilasiku, Leo nimekusogezea tukio zuri kwa mashabiki wa muziki na wanaopenda kufurahi na kuondoa mawazo siku za weekend, Ni Galla Night iliyofanyika Chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT-MWANZA) hapo juzi Tar 18 June, 2017 ambapo waliperfome live wasanii wakali toka Tanzania alikuwepo Mtu mzima BillNass, Dogo Janja pamoja na Mwanadada Nandy + Undergroungs pia walipata nafasi ya kuonyesha uwezo wao alikuwepo Star Boy, Top Boy Classic, Ivo Voice na wengine wengi.
Nimekuwekea
full video kuanzia Short Interviews, undergrounds Perfomances pamoja na
perfomance ya BillNass, Dogo Janja na Nandy.
HIZI NI BAADHI YA PICHA ZILIZO NASWA NA CAMERA ZA MURO TV 
Mr. Muro wa Muro TV |
ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI
Muro Tv Ipo Play Store…Download HAPA ,Tuwe tunakutumia habari kwa haraka zaidi,kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba:0768786851, whatsapp:0768786851
3 comments:
Safi sana bro nazielewa juhudi zako i know one day yes utakuwa level nyingine katika ulimwengu huu wa kutupasha habari. Viva Muro
Thanks bro
@Hamisi Puff
Post a Comment