Header Ads

PICHA 21 GALLA NIGHT: LIVE PERFOMANCE BY BILL NASS, DOGO JANJA AND NANDY, SAUT-MWANZA + FULL VIDEO

MuroTV 

PICHA 21 GALLA NIGHT: LIVE PERFOMANCE BY BILL NASS, DOGO JANJA AND NANDY, SAUT-MWANZA + FULL VIDEO



18 JUNE, 2017 
Mtu wangu wa ukweli kama ilivyo kawaida yangu Muro TV na murotv.blogspot.com kukuletea natukio ya muhimu kilasiku, Leo nimekusogezea tukio zuri kwa mashabiki wa muziki na wanaopenda kufurahi na kuondoa mawazo siku za weekend, Ni Galla Night iliyofanyika Chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT-MWANZA) hapo jana Tar 18 June, 2017 ambapo waliperfome live wasanii wakali toka Tanzania alikuwepo Mtu mzima BillNass, Dogo  Janja pamoja na Mwanadada Nandy + Undergroungs pia walipata nafasi ya kuonyesha uwezo wao alikuwepo Star Boy, Top Boy Classic, Ivo Voice na wengine wengi.
Nimekuwekea full video kuanzia Short Interviews, undergrounds Perfomances pamoja na perfomance ya BillNass, Dogo Janja na Nandy. 
HIZI NI BAADHI YA PICHA ZILIZO NASWA NA CAMERA ZA MURO TV
 






Mr. Muro wa Muro TV

ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI




Muro Tv Ipo Play Store…Download HAPA ,Tuwe tunakutumia habari kwa haraka zaidi,kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba:0768786851, whatsapp:0768786851
 Download Hpa

No comments:

Powered by Blogger.