PICHA 11: NYUMBA ALIYONUNUA RAIS MSTAAFU OBAMA
Mix
PICHA 11: Nyumba aliyonunua Rais mstaafu Obama
Nyumba hii yenye vyumba tisa ipo katika mtaa wa kifahari wa Kalorama Washington DC Marekani na imeripotiwa walikua wakiishi humo kwa siku nyingi kama Wapangaji lakini sasa wameamua kuinunua.
Taarifa ya BBC inasema Msemaji wa Obama amenukuliwa akisema Famili ya Obama itaendelea kuwepo Washington DC kwa kama miaka miwili na nusu hivyo hii nyumba ina umuhimu kwao.

SIKILIZA NYIMBO MPYA YA KING DAVY-KWA MUDA

No comments:
Post a Comment