Header Ads

PICHA 10: ZA MUIGIZAJI IRENE PAUL, AMEFUNGA NDOA

MuroTv

Burudani

PICHA10 : Nimezipata hizi za muigizaji Irene Paul, amefunga ndoa

Inawezekana na wewe umekutana na picha za muigizaji Irene Paul ama wengine wanamuita Angelina Jolie wa Bongo akiwa katika mavazi ya bibi harusi. Mrembo huyo amefunga ndoa na mpenzi wake na kufanya sherehe kimya kimya, sherehe ambayo ilihudhuriwa na watu wachache.
Irene amesema hakupendelea picha za mume wake zionekane kwani hapendelei maisha yake nje ya kazi yafahamike sana.

























SIKILIZA NYIMBO MPYA YA KING DAVY-KWA MUDA

 

No comments:

Powered by Blogger.