Maneno ya hasira ya Diamond Platnumz kwenye picha ya Zari
Sote tunajua Diamond Platnumz na Zari ni Wapenzi walioshibana na kwenye mapenzi yao wamefanikiwa kupata watoto wawili.
Kwenye saa 20 zilizopita kumekua na
picha zinazosambaa mitandaoni zikimuonyesha Zari akiwa ndani ya
maji ambapo kwenye picha alizopost yeye alionekana mwenyewe lakini kuna
nyingine zimesambaa zikimuonyesha akiwa na Mwanaume.
Mpenzi wake ambaye ni Diamond Platnumz amepost moja ya hizo picha zilizosambaa na kuandika yafuatayo >>> “Ndio maana wakati mwingine naonaga bora tu nile na kusepa…. maana hawathaminikagi wala kuaminika hawa“

Tunaamini haya yatapita na amani itarejea…. bado tungependa kuwaona pamoja wakifurahia mapenzi yao
MuroTV na murotv.blogspot.com zipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati.
KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;


No comments:
Post a Comment