Header Ads

Mama Diamond afunguka Diamond kuhusishwa na ujauzito wa Mobetto

 MuroTV

Burudani

Mama Diamond afunguka Diamond kuhusishwa na ujauzito wa Mobetto

Baada ya kuwepo kwa story ambayo inaendelea kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa mwimbaji staa Diamond Platnumz amempa ujauzito Hamisa Mobetto na kumnunulia gari, mama mzazi wa staa huyo amefunguka.
Kupitia kwenye U-heard ya XXL ya Clouds FM leo June 9, 2017 mtangazaji Soudy Brown baada ya kuwakosa Diamond na Hamisa Mobetto alipiga story na mama mzazi wa Diamond kuhusu issue hiyo:
>>>“Umempa wewe? Napatana naye. Mimi napatana na kila mtu. Ananiona nuski, mbona unataka nionake na mimi mbea? Mimi nakuambia sinaga mambo hayo ya kukaa na watu kumuongelea mtu. Mimi napatana na Zari aliyeniletea watoto.” – Mama Diamond.
MuroTV na murotv.blogspot.com zipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati.
Image may contain: text KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA; 
Phone: 0768786851
Email:prospermuro690@gmail.com
          : prosperalphonce35@gmail.com
Instagram: muro_tv


No comments:

Powered by Blogger.