LIST YA NCHI ZENYE AMANI NA ZISIZO NA AMANI 2017IMETOKA, TANZANIA IPO?
MuroTv
Duniani
List ya Nchi zenye Amani na zisizokuwa na Amani 2017 imetoka, Tanzania ipo?
Takwimu hizi zinaonesha kuwa amani imeongezeka katika nchi 93 huku ikipungua kwenye zaidi ya nchi 63 tofauti na miaka mingine. Iceland imeendelea kuongoza list kwa miaka 9 sasa tangu 2008 huku nchi kama New Zealand, Ureno, Austria na Denmark zikiingia kwenye list hiyo.
Kwa upande wa nchi zisizo na amani Syria imeendelea kubaki kwenye list hii kwa zaidi ya miaka mitatu mfululizo huku nchi mpya kama Somalia Afghanistan, Iraq, South Sudan, and Yemen zikingia kwenye list ya 2017.
Nchi zenye amani zaidi 2017

Nchi ambazo hazina amani 2017

No comments:
Post a Comment