MICHEZO HALF TIME: TANZANIA 1 LESOTHO 1 Ni half time sasa mchezo kati ya Taifa stars na Lethotho timu zote mbili zikiwa zimetoshana nguvu kwa kufungana 1:1 Mbwana Samatha akianza kuiandikia Taifa Stars goli la kwanza la mchezo dakika ya 36. MuroTV na murotv.blogspot.com zitaendelea kukufahamisha mpaka mchezo utakapo isha.
MuroTV na murotv.blogspot.comzipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati. KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;
No comments:
Post a Comment