BREAKING: Ripoti ya pili ya mchanga wa madini kutua kwa JPM Jumatatu
MuroTV
Mix
BREAKING: Ripoti ya pili ya mchanga wa madini kutua kwa JPM Jumatatu
Siku
chache tangu akabidhiwe ripoti ya mchanga wa madini, Rais Magufuli
atapokea taarifa ya kamati ya pili ya wachumi na wanasheria iliyofanya
uchunguzi madini yaliyo kwenye makontena yenye mchanga wa madini
Jumatatu June 12, 2017 Ikulu Dar es Salaam.

MuroTV na murotv.blogspot.com zipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati.
KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;

No comments:
Post a Comment