Diamond azungumza kinachoendelea kati yake na Hamisa Mobetto
Diamond amezungumza kupitia kipindi cha XXL ya Clouds FM June 21, 2017 ambapo amesema hakuwai kuwa na uhusiano na Hamisa pia hafahamu lolote kuhusu ujauzito bali ni story anazozisikia tu:>>>“Kuhusu mimba ya Hamisa mimi sijawahi kuwa na mahusiano naye. Hizi ni stori ambazo kila siku hata mimi nazisikia.
“Toka nimefanya na Hamisa Mobetto video ya Salome watu wameongea kweli lakini mimi sina mahusiano naye.” – Diamond Platnumz.
Muro Tv Ipo Play Store…Download HAPA ,Tuwe tunakutumia habari kwa haraka zaidi,kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba:0768786851, whatsapp:0768786851

No comments:
Post a Comment