Watanzania watatu wameshinda Medali za Dhahabu Marekani
Wanafunzi watatu wa Tanzania wameshinda Medali tatu za Dhahabu kwenye Mashindano ya Genius Olympiad yaliyofanyika Marekani kuhusu ugunduzi wa Sayansi, Biashara na Mazingira na kuhusisha nchi 63 kutoka Duniani kote.
Wanafunzi hao ni mtoto wa Rais wa zamani Jakaya Kikwete anayeitwa Rashid Jakaya Kikwete, mtoto wa Mbunge wa Chemba Juma Nkamia anayeitwa Abdulrazak Mkamia na Abdallah Rubeya kutoka Shule ya Sekondari Feza Boys ya DSM.
Hii si mara ya kwanza Tanzania kushiriki mashindano haya, mwaka 2015 wanafunzi wengine wa Tanzania walishinda medali mbalimbali katika kipengele cha Biashara na Mazingira.

Hii si mara ya kwanza Tanzania kushiriki mashindano haya, mwaka 2015 wanafunzi wengine wa Tanzania walishinda medali mbalimbali katika kipengele cha Biashara na Mazingira.
Muro Tv Ipo Play Store…Download HAPA ,Tuwe tunakutumia habari kwa haraka zaidi,kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba:0768786851, whatsapp:0768786851

No comments:
Post a Comment