Cristiano Ronaldo kawaonesha watoto wake mapacha leo
Zikiwa zimepita siku kadhaa toka staa wa soka wa kimataifa wa
Ureno anayaeichezea Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo atangaze
kuwa amepata watoto mapacha wawili, leo June 29 amepost picha akiwa na
mapacha hao.
Ronaldo ambaye timu yake ya taifa ya Ureno ambayo yeye ni nahodha
wametolewa jana kwa mikwaju ya penati dhidi ya Chile, leo kuwaonesha
hadharani watoto wake mapacha kwa kupost picha kwa mara ya kwanza.
No comments:
Post a Comment