Taarifa nilizozipokea mchana wa leo June 2, 2017 ni kutoka
Bungeni Dodoma, ni taarifa ya ambayo inawahusu Wabunge wa Upinzani
kuamua kutoka nje ya Bunge kupinga kitendo cha Spika Job Ndugai kumtoa
Mbunge wa Kibamba John Mnyika.
BREAKING: MAAMUZI YA WABUNGE WA UPINZANI BAADA YA MNYIKA KUTOLEWA BUNGENI
Reviewed by
Unknown
on
June 02, 2017
Rating:
5
1 comment:
Mmmmmmm,
Post a Comment