Header Ads

TAMKO LA BANK KUU UGANDA KWA WALIOTUPA FEDHA KWENYE KABURI LA IVAN

MuroTv

Mix

Tamko la Bank Kuu Uganda kwa waliotupa fedha kwenye Kaburi la Ivan

Ikiwa zimepita siku Tatu tangu aliyekuwa Mfanyabiashara maarufu Uganda Ivan Don kuzikwa huku moja ya matukio katika msiba huo likiwa ni Kundi la Rich Gang kumwaga fedha kwenye kaburi, gumzo limeibuka kutokana na kitendo hicho.
 Benki Kuu ya Uganda imetoa tamko la kutaka Vyombo vya Dola viwachukulie hatua waliotupa hela kwenye kaburi la Ivan Don wakati anazikwa.
Advertisement

No comments:

Powered by Blogger.